28 Sep 2017 CAG abaini watumishi wa umma 789 wa halmashauri mbalimbali nchini wanaokatwa sehemu kubwa ya mishahara yao kiasi cha kupunguza ufanisi kazini. Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke asema atakayemkopesha . Azitaka halmashauri kutoidhinisha mikopo inayozidi theluthi mbili ya mishahara yao